Nitakusaidia kusajili jina la biashara yako nchini Tanzania.
PI
Phidtech Ict&Business solutions ltd
(0 maoni)

Kuhusu Huduma Hii
Nitakusaidia kusajili jina la biashara nchini Tanzania, kufanya tathmini ya kodi na kupata leseni ya biashara.
business name
Brela
name search
Maoni (0)
Hakuna maoni bado.
Standard
TSh 25,000
Nitatuma maombi ya usajili wa jina la biashara mtandaoni kupitia BRELA. Nitakusaidia kupata cheti cha usajili wa biashara. Gharama za serikali hazijajumuishwa kwenye malipo ya huduma yetu. Tutakutumia namba ya malipo (Control Number) kwa ajili ya kulipa gharama hizo. Nitakusaidia kupata TIN na Hati ya Uthibitisho wa Ulipaji wa Kodi (Tax Clearance).
7 day delivery 2 revisions
Service priceTSh 25,000
Service fee (5%)TSh 1,250
TotalTSh 26,250
PI
Phidtech Ict&Business solutions ltd
Dar es salaam, Tanzania
—
Tathmini
3
Maagizo
0%
Ukamilifu
2026
Mwaka