Nitakusaidia kupata leseni ya kufanya shughuli za huduma za fedha ndogo (Microfinance) kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT
PI
Phidtech Ict&Business solutions ltd
(0 reviews)

About This Service
Tuna uzoefu katika usimamizi na usajili wa taasisi za huduma za fedha ndogo (Microfinance). Tutakusaidia kuandaa nyaraka zote zinazohitajika kwa ajili ya kusajili taasisi ya Microfinance nchini Tanzania na kupata kibali cha kufanya shughuli hizo kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Kampuni ya Huduma za Fedha Ndogo
Benki Kuu ya Tanzania
Leseni ya Biashara
Reviews (0)
No reviews yet.
Standard
TSh 500,000
Nitatayarisha nyaraka zote zinazohitajika kwa ajili ya maombi ya kibali cha huduma za fedha ndogo na kuziwasilisha Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Nitakusaidia kupata kibali cha kuendesha shughuli za huduma za fedha ndogo. Nitaanza kukusaidia kuanzia hatua ya kuomba kibali.
15 day delivery 3 revisions
Service priceTSh 500,000
Service fee (5%)TSh 25,000
TotalTSh 525,000
PI
Phidtech Ict&Business solutions ltd
Dar es salaam, Tanzania
—
Rating
3
Orders
0%
Completion
2026
Member Since